Inashangaza sana: Blagnon nje, Juma Luizio ndani

Inashangaza sana: Blagnon nje, Juma Luizio ndani

Mtoa post ulikurupuka Tafuta Vyanzo sahihi ndiyo utoe taarifa, luzio kasajiliwa kwa mkopo na blagnon Bado yupo Sana msimbazi
 
Mtoa post ulikurupuka Tafuta Vyanzo sahihi ndiyo utoe taarifa, luzio kasajiliwa kwa mkopo na blagnon Bado yupo Sana msimbazi
Nilikuwa na comment post za huyu mzushi lakini nikaona nakimbizana na kichaa.Watu hawawezi kuona tofauti. Anakaa kwenye vijiwe vya kahawa anakusanya umbea kuhusu Simba akiupata huyo hata ha verify anakimbilia JF.Alituambia Mkude ananukia kujiunga Yanga.Harufu imeishia chooni. Leo katuambia Blagnon kaachwa kumbe umbea. Watu wa aina hii huvalishwa kanga uswahilini.
 
Simba imefanyia ushauri wangu,hakuna kipa pale ni shati tu,ni uimara wa ngome ya Mabeki ndio ilimfanya aonekane mzuri.huyu blagnon ndio kabisa hamna kitu
 
Huyo Luizio huko Zesco hata benchi alikuwa hakai
 
Back
Top Bottom