Mnaweza kazi za porini?😹
Au mnataka tu ajira.....
Elewa "kazi za porini"Hio ni halmashauri ya jiji hakuna Pori hapo ni town na uswahilin
Kuna sifa ambazo mtumishi wa umma anakuwa nazo tayari. Ukihitaji watu walioko nje ya Utumishi wa umma, bajeti itaongezeka zaidi hasa ya recruitment na mafunzo. Bajeti hiyo ingetoka kwenye pesa za walipakodi, miradi ya maji, umeme, viwanja vya ndege, ajira mpya, barabara na kadhalika, ingeathiriwa.Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya ama mlikuwa mmekunywa rubisi?? Enyi serikali hebu wajalini wananchi wenu kwa usawa. Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira??? Wacha tukae bila ajira Wala pesa. Tutashinda huku mitandaoni kuwasema hadi mlewe. Wabinafsi wakubwa nyie. Keki ya Taifa hamtaki kutugea na sisi wananchi.
WANANCHI WENZANGU, NAFASI ZA KAZI HIZO HAPO...LAKINI NI KWA WATUMISHI TU.
Umemaliza, hapo bado orientation maana hiyo kazi ni "special assignment", ukimchukua mtu nje ya mfumo anajikuta hata taratibu za kawaida za utendaji kazi wa serikali anakuwa hajui vizuriKuna sifa ambazo mtumishi wa umma anakuwa nazo tayari. Ukihitaji watu walioko nje ya Utumishi wa umma, bajeti itaongezeka zaidi hasa ya recruitment na mafunzo. Bajeti hiyo ingetoka kwenye pesa za walipakodi, miradi ya maji, umeme, viwanja vya ndege, ajira mpya, barabara na kadhalika, ingeathiriwa.
Ipo hivyo nchi nzima.Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya ama mlikuwa mmekunywa rubisi?? Enyi serikali hebu wajalini wananchi wenu kwa usawa. Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira??? Wacha tukae bila ajira Wala pesa. Tutashinda huku mitandaoni kuwasema hadi mlewe. Wabinafsi wakubwa nyie. Keki ya Taifa hamtaki kutugea na sisi wananchi.
WANANCHI WENZANGU, NAFASI ZA KAZI HIZO HAPO...LAKINI NI KWA WATUMISHI TU.
Nadhani wanafanya hivyo kujua ambao wapo interested though hoja yako ya kuteua ni nzuri kwa maana kwamba wanateua miongoni mwa hao walio-apply.Ipo hivyo nchi nzima.
Hata hivyo hapakuwa na sababu ya kuwataka kutuma maombi, wangteua tu na kuwapangia vituo maana watumishi wote wa umma wana sifa!
walijifunza kwenye sensa 2022Ukiharibu kazi watakupata wapi mkuu, lengo ni kazi ifanyike kwa ufanisi na watumishi wa serikali ambao wapo interested na sio kutoa kazi kwa kigezo tu kuna watu hawana ajira
Yes anaruhusiwa nje ya Muda wa kaziLabda majobless hawawaamini.
Hapo kwenye sifa "A" & "B" kwani mtumishi wa umma anaruhusiwa kujihisisha na maswala ya siasa ? Ama unaweza kuwa kada ila ujihisishi na siasa?