Inashangaza sana, mawaziri wanazuia comment kwa wananchi kwenye jumbe zao, wengine wanawablock au kuhide comment

Inashangaza sana, mawaziri wanazuia comment kwa wananchi kwenye jumbe zao, wengine wanawablock au kuhide comment

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Tumefika huku, waziri anatoa ujumbe alafu anazuia comment, Rais atoa ujumbe then anablock wananchi wake au anahide comment za wananchi, yani ni mwendo wa matofali tu, sijui kwa nini tumefika hapa

Screenshot_20250608_224802_X.jpg
 
Tumefika huku, waziri anatoa ujumbe alafu anazuia comment, Rais atoa ujumbe then anablock wananchi wake au anahide comment za wananchi, yani ni mwendo wa matofali tu, sijui kwa nini tumefika hapa

View attachment 3361535
Huyu bwana Nchemba kuna kipindi alituambia twende BURUNDI. Alimanisha kuwa sisi wengine mashamba yetu yapo huo.

Leo anaongea madudu gani?.
 
Ila sisiem bana, ukiwaambia kuhusu mabadiriko wao wanaelewa unataka kuvunja amani. Sasa mtu asiwe na familia nje dunia yenyewe ya mola hii haina mipaka.
 
Back
Top Bottom