Inashangaza sana; Yaani ile timu Magufuli yote inamsapoti Tundu Lissu licha ya kuwa wawili hao walikuwa mahasimu wakubwa

Inashangaza sana; Yaani ile timu Magufuli yote inamsapoti Tundu Lissu licha ya kuwa wawili hao walikuwa mahasimu wakubwa

Mpo salama Kabisa!

Kuna Jambo linashangaza Sana.
Asilimia kubwa ya wafuasi wa Magufuli wanamuunga Mkono Tundu Lisu licha ya kuwa Wawili hao walikuwa mahasimu Wakubwa.
Lakini Leo hii wafuasi hao wameamua kumuunga Mkono Tundu Lisu.

Hii inamaanisha Jambo gani Hasa?

Wakati kwa upande wa pili Wanaomuunga Mbowe Mkono wengi wao ni Timu Msoga.
Hii inamaanisha nini?

Tupo hatupo!
Tuwekee majibu ya tafiti zako hapa jukwaani, tofauti na hapo ni uzushi tu uo.
 
Back
Top Bottom