Inashangaza sana; Yaani ile timu Magufuli yote inamsapoti Tundu Lissu licha ya kuwa wawili hao walikuwa mahasimu wakubwa

Japo hatujamsamehe bado kwa kumuita mzee wetu dikteta uchwara ila twende nae kwanza tutajua huko mbeleni

Ni kweli Magufuli alikuwa Dikteta Mkuu. Hilo hata yeye alilijua. Sema labda jina uchwara ndio halikukaa vizuri
 
Tuwekee majibu ya tafiti zako hapa jukwaani, tofauti na hapo ni uzushi tu uo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…