Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

alisema alitolewa jalalani, ingawa kitheologia alikuwa na maana kubwa sana kusema hvyo.
 
Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
Nilitegemea ungefafanua, Prof Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, ni Professor wa sheria aliyehudumu kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amepika maelfu ya wanafunzi , nikiwemo mimi, huwezi kumvunjia heshima kumuita chawa bila kuufafanua uchawa wake. Huku sio kumtendea haki mwalimu wetu.

P
 
Back
Top Bottom