Inasikitisha kamanda mkuu wa magaidi ya fatah kuachiwa huru kisa makubaliano kusitisha vita, aliwahi toroka jela yenye ulinzi mkali Israel 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas.


Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:


January 18, 2025

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi to be freed in first phase of hostage-ceasefire deal

Today, 4:11 am

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi, who was part of a prison break from a high-security detention facility in northern Israel in 2021 before he and the other escapees were again apprehended, is included on the Justice Ministry’s list of Palestinian security prisoners that Israel is slated to release in the first stage of the hostage-ceasefire deal with Hamas.

The list in Hebrew published online states that Zubeidi will not be sent abroad, allowing him to return home to the northern West Bank city of Jenin, where he was the commander of Fatah’s Al-Aqsa Martyrs Brigades.

The IDF last year killed his son Mohammed alongside several other gunmen in a drone strike, describing the younger Zubeidi as “prominent terrorist from the Jenin area,” which has been a hotbed of terror activity over the past year.
 
we mgalatia wa makambako unamwita gaidi kakuulia mkeo au dadaako? halafu nyie wagalatia mnajipendekeza kwa mayahudi kisa tu mnauchukia uislamu, hao mayahudi si ndio walimsulubu yesu, Halafu ungejua jinsi gani wayahudi wanavyowachukia wakristo msingejipendekeza.

watu wanapigania nchi yao ww unawaita magaidi wakati hao mayahudi ndio magaidi wakubwa, pumbav
 
Acha wivu wa kijinga, wewe na idf nani anayejua zaidi historia ya huyo kiongozi???
 
Hayakuhusu wewe sio raia wa Israel wala Myahudi .
 
Sio waislamu wote magaidi ila magaidi wote ni wsislamu.

Mudi pedophile alitoa muongozo.
Yesu aliuliwa na Serikali ya Roma kupitia amri ya pilato,japo kifo chake ndio ukombozi wetu mimi nawe mvaa kobazi.
 
Sio waislamu wote magaidi ila magaidi wote ni wsislamu.

Mudi pedophile alitoa muongozo.
Yesu aliuliwa na Serikali ya Roma kupitia amri ya pilato,japo kifo chake ndio ukombozi wetu mimi nawe mvaa kobazi.
Mnanishangaza nyie wafuasi wa Mfalme Zumaridi kujipendekeza kwa wayahudi, maovu yote unayoyaona duniani chanzo chake ni wayahudi, itoshe kusema hamna akili
 
Halafu kuna nyumbu wanasema Israel wanajua walipo mateka, hawataki kuwaokoa ili wapate sababu ya kuendelea kuua Wapalestina.

Ndio wafanye maamuzi magumu ya kuachia watu sensitive namna hii huku wakijua mateka walipo?

Haya makubaliano ya kusitisha vita yameigawa Israel, kuna viongozi wameapa kujiuzulu endapo tu yatafikiwa. This shows wako kwenye wakati mgumu kiasi gani.
 
Waisrael wa mwakareli wamechafukwa kujua Israel katema Bungo lkn wenzao kule walipambana sana waisrael ili waeshimike lkn sasa Hamas silaha aishiwi tangu vita imeanza ajulikani zinatokea wapi IDF wengi Wameuwawa wangefanyaje!!! Zaid ya kutoka mbioooo kufa kusikie tu kwa jilan yako!!!
 
Aya mayumbu sio nyumbu mana wapo wengi wameshikiwa akili na wachungaji wanachoambiwa wanasema tawile na mchungaji kabandika na Bendera ya Israel kanisani kawaambia ISRAEL kamwe aitoshindwa na wanaweza pigana n dunia!!!!! Sasa wamechafukwa hatari!!!!
 
Pale mbongo anapokuwa na machungu kuliko waisrael wenyewe utadhani aliwahi ishambulia tanzania...
 
Yasin aliachiliwa hivihivi mwisho wake akaishia kuliwa kichwa wakati anatoka msikitini.
Umechafukwa pole sana tuliwaambia awa waisrael ni fake sasa baada ya kupigika ndio mtaelewa pengine awa ndio OG au wazungu tu mashoga wa ULAYA wametudanganya sana tu kupitia media pole bwana mdogo utazoea tu!!!
 
Punguza hasira kaka hiz dini tumeletewa hakuna aliyewah kumuona Yesu au Muhammad au Mungu adhibitishe ukweli wake
 
Anayeongoza Syria sasa hivi alijulikana zamani kama head chopper. As long as hutofautiani na America basi wewe siyo gaidi
 
Sio waislamu wote magaidi ila magaidi wote ni wsislamu.

Mudi pedophile alitoa muongozo.
Yesu aliuliwa na Serikali ya Roma kupitia amri ya pilato,japo kifo chake ndio ukombozi wetu mimi nawe mvaa kobazi.
Chizi ni chizi tu, sasa kama ali uliwa na Roma ndio ukombolewe wewe?, Mtu kafa kwa sababu za KI SIASA alafu unaingiza tungo zako, nyinyi ni sikio la kufa
 
Sasa kinachokusikitisha ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…