Inasikitisha kamanda mkuu wa magaidi ya fatah kuachiwa huru kisa makubaliano kusitisha vita, aliwahi toroka jela yenye ulinzi mkali Israel 2021

Inasikitisha kamanda mkuu wa magaidi ya fatah kuachiwa huru kisa makubaliano kusitisha vita, aliwahi toroka jela yenye ulinzi mkali Israel 2021

we mgalatia wa makambako unamwita gaidi kakuulia mkeo au dadaako? halafu nyie wagalatia mnajipendekeza kwa mayahudi kisa tu mnauchukia uislamu, hao mayahudi si ndio walimsulubu yesu, Halafu ungejua jinsi gani wayahudi wanavyowachukia wakristo msingejipendekeza.

watu wanapigania nchi yao ww unawaita magaidi wakati hao mayahudi ndio magaidi wakubwa, pumbav
Takbir!
Allah Akbar.
 
Kamanda mkuu kagomea kupigwa PICHA.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Aya mayumbu sio nyumbu mana wapo wengi wameshikiwa akili na wachungaji wanachoambiwa wanasema tawile na mchungaji kabandika na Bendera ya Israel kanisani kawaambia ISRAEL kamwe aitoshindwa na wanaweza pigana n dunia!!!!! Sasa wamechafukwa hatari!!!!
Cha ajabu huwa mkipimwa kiwango cha akili kati ya ninyi wenye akili sana na hao nyumbu huwa matokeo yanadhihirisha ukweli ni upi.
 
Sio waislamu wote magaidi ila magaidi wote ni wsislamu.

Mudi pedophile alitoa muongozo.
Yesu aliuliwa na Serikali ya Roma kupitia amri ya pilato,japo kifo chake ndio ukombozi wetu mimi nawe mvaa kobazi.
Kwamba Mungu afe Ili wewe ukombolewe,ukombolewe na nini!?..akili zenu bana!!..wayahudi ndiyo walioshupalia yesu auawe,hata herode na pilato' walishangaa
 
Umechafukwa pole sana tuliwaambia awa waisrael ni fake sasa baada ya kupigika ndio mtaelewa pengine awa ndio OG au wazungu tu mashoga wa ULAYA wametudanganya sana tu kupitia media pole bwana mdogo utazoea tu!!!
Aisee unatetea usichokijua ndugu yangu, kitu ambacho pengine kitakuwa kichungu kwako na ambacho hutakiamini ni kwamba utawala wa Hama's ndio umefika mwisho katika ukanda wa Gaza ukanda wa Gaza utakuwa chini ya utawala wa mamlaka ya Palestine na wamesema kwamba baada ya wapelestina kukabidhiwa ukanda huo kazi ya kwanza itakuwa nikufanya kazi ya kujenga,hata Hama's wenyewe wamekubali kwa kusema kuwa hawana haja ya kuendelea kushikria ukanda huo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

January 18, 2025

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi to be freed in first phase of hostage-ceasefire deal

Today, 4:11 am

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi, who was part of a prison break from a high-security detention facility in northern Israel in 2021 before he and the other escapees were again apprehended, is included on the Justice Ministry’s list of Palestinian security prisoners that Israel is slated to release in the first stage of the hostage-ceasefire deal with Hamas.

The list in Hebrew published online states that Zubeidi will not be sent abroad, allowing him to return home to the northern West Bank city of Jenin, where he was the commander of Fatah’s Al-Aqsa Martyrs Brigades.

The IDF last year killed his son Mohammed alongside several other gunmen in a drone strike, describing the younger Zubeidi as “prominent terrorist from the Jenin area,” which has been a hotbed of terror activity over the past year.
Gaidi no.1 Afrika Mashariki ni netanyahu na ana warrant ya kukamatwa, kwanini yeye anadunda kutembea huku huku? jifunze kujua tafsiri ya neno gaidi huenda na wewe na familia yako ni magaidi
 
Waisrael wa mwakareli wamechafukwa kujua Israel katema Bungo lkn wenzao kule walipambana sana waisrael ili waeshimike lkn sasa Hamas silaha aishiwi tangu vita imeanza ajulikani zinatokea wapi IDF wengi Wameuwawa wangefanyaje!!! Zaid ya kutoka mbioooo kufa kusikie tu kwa jilan yako!!!
Halafu oparation za northen gaza strip zilikua za moto sana hizo nadhani zimechangia pakubwa, baada ya ceasefire ya hizbollah quality ya oparation za gaza zilikua za moto sana ikitokea ambush utasikia kumi kumitano wametamba mchanga 30 majeruhi.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

January 18, 2025

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi to be freed in first phase of hostage-ceasefire deal

Today, 4:11 am

Notorious Fatah terrorist Zakaria Zubeidi, who was part of a prison break from a high-security detention facility in northern Israel in 2021 before he and the other escapees were again apprehended, is included on the Justice Ministry’s list of Palestinian security prisoners that Israel is slated to release in the first stage of the hostage-ceasefire deal with Hamas.

The list in Hebrew published online states that Zubeidi will not be sent abroad, allowing him to return home to the northern West Bank city of Jenin, where he was the commander of Fatah’s Al-Aqsa Martyrs Brigades.

The IDF last year killed his son Mohammed alongside several other gunmen in a drone strike, describing the younger Zubeidi as “prominent terrorist from the Jenin area,” which has been a hotbed of terror activity over the past year.
Yahaudi jeusi lipo Uyole linatoa tamko😂

Kuna Gaidi zaidi ya Netanyahu nyie walokole uwa mnachekesha sana.

Israel anamuita Yesu mtoto wa Halamu😂
 
Hawawezi waua wakiwa gerezani, njia pekee ni huko huko walipopelekwa
 
Halafu kuna nyumbu wanasema Israel wanajua walipo mateka, hawataki kuwaokoa ili wapate sababu ya kuendelea kuua Wapalestina.

Ndio wafanye maamuzi magumu ya kuachia watu sensitive namna hii huku wakijua mateka walipo?

Haya makubaliano ya kusitisha vita yameigawa Israel, kuna viongozi wameapa kujiuzulu endapo tu yatafikiwa. This shows wako kwenye wakati mgumu kiasi gani.
Hamas kwa sasa kashakatwa mikono na miguu,

Huyo gaidi hana uwezo wowote wa kuanzisha harakati mana akithubutu tu analiwa kichwa.
 
Hamas kwa sasa kashakatwa mikono na miguu,

Huyo gaidi hana uwezo wowote wa kuanzisha harakati mana akithubutu tu analiwa kichwa.
Na huu mkataba walisaini na mtendaji wenu wa kijiji

1737210903264.png
 
Halafu kuna nyumbu wanasema Israel wanajua walipo mateka, hawataki kuwaokoa ili wapate sababu ya kuendelea kuua Wapalestina.

Ndio wafanye maamuzi magumu ya kuachia watu sensitive namna hii huku wakijua mateka walipo?

Haya makubaliano ya kusitisha vita yameigawa Israel, kuna viongozi wameapa kujiuzulu endapo tu yatafikiwa. This shows wako kwenye wakati mgumu kiasi gani.
Huyu jamaa kawekewa gps mwilini ikifika mwisho wake itakuwa kama matukio ya Pager au Nasralla.
Halafu tukio la Pager na kifo cha Magu na ile peace maker yake ya moyo kama movie moja ila director tofauti.
 
we mgalatia wa makambako unamwita gaidi kakuulia mkeo au dadaako? halafu nyie wagalatia mnajipendekeza kwa mayahudi kisa tu mnauchukia uislamu, hao mayahudi si ndio walimsulubu yesu, Halafu ungejua jinsi gani wayahudi wanavyowachukia wakristo msingejipendekeza.

watu wanapigania nchi yao ww unawaita magaidi wakati hao mayahudi ndio magaidi wakubwa, pumbav
Mpe na hii taarifa huyo
 
Attachments

  • FB_IMG_1737224720810.jpg
    FB_IMG_1737224720810.jpg
    47.5 KB · Views: 1
We call on all the humane countries of the world known for their authenticity to arrest any Zionist terrorist soldier who participated in the war on Gaza. International organizations have officially sent more than 6,200 names to be arrested if they reach those countries. We hope that those countries will take strict measures against these murderous terrorists.🔻
 
Huyo gaidi anaachiliwa ili aende aage tu ndugu na jamaa kwani hana siku mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom