Inasikitisha kuona Watanzania wenzangu wanawabeza Wakenya kwa kushindwa kujizatiti madhubuti kupigana na Corona

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Inaskitisha kuona Watanzania wenzangu wanawabeza Wakenya kwa kushindwa kujidhatiti madhubuti kupigana na Corona. Hivi hamjui wenzetu wanafariki? Hivi mnajua uchungu wa kumpoteza ndugu au mtu kipenzi? Naomba tusitengeneze chuki baina ya mataifa pekee yenye ushindani shababi EAC.

It is a fact they won't accept that they truly need our aid, ila tukirudi kwenye uhalisia, Wakenya wanatuhitaji mahasimu wao muda huu.

Kama kweli tunaamini ushindi wetu Tanzania dhidi ya Corona ni kutokana n kudra za Allah, basi tusimbeze Allah kwa kutupa mafanikio haya. Mungu sio athumani, tujitahadhari.
 
Mlipokuwa mnamtukana Magufuli na kumuuamini mzungu mlifikiri hatuoni? Na vile vikao vyenu uchwara vya kwenye video sijui viliwasaidia kitu gani
 
Kenya news! Unatu provoke
 
Mlipokuwa mnamtukana Magufuli na kumuuamini mzungu mlifikiri hatuoni? Na vile vikao vyenu uchwara vya kwenye video sijui viliwasaidia kitu gani;
Hio post imepostiwa n mtz mwenye ushahidi wa uraia wake Kwa kutumia vitambulisho vyote official vinavyotambuliwa n serikali yetu in a chronological order.

Dont comment for the sake of just doing it, umeelewa kilichoandikwa wewe?
 
Kwanza watanania ndio nini?
Bro nenda kaombe ada yako uliposea.

Tanzania ni jina linaloundwa n herufi kama nyingine, sema zikiunganishwa zilateta mantiki ya utambulishi ya watu wa nchi fulani, nchi yetu. Tz ni jina tu, sema uhalisia wa tz ndio sisi tunauishi. Utaskia Tanzania imefanya hili au lile, kaka, tz haina miguu wala mikono ya kufanya jambo. Ni sisi Watanzania ndio tunaofanya ivyo vitu, kumaanisha we are the living Tanzania. Kwaivyo, mimi kuitaja Tanzania ni tafsida tu iliyohtumika kuwakilisha ujumbe kwa Tanzania themselves. Tumeelewana?

Nimeupost huu uzi maana hapa maana ujumbe huu unawahusu watu wote. Ingekuwa inamhusu Sumaye nisingekuja uku, ningeenda kwenye jamvi la siasaaaaa
 
Ulichokiandika nilikuelewa kabisa ila maana yangu ya kukuliza swali hilo mzee maandishi yako unakosea sana kuandika kuna error kadhaa hivyo nilitaka uhakikishe bandiko lako.
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Yesu aliwahi kusema,ukinikana hadharani,ntakukana mbele ya baba yangu kiti cha enzi. Sisi tulimtambua Yesu mapeeema, maana ukweli tulijua hii kisanga ni ya hela yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…