Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Inaskitisha kuona Watanzania wenzangu wanawabeza Wakenya kwa kushindwa kujidhatiti madhubuti kupigana na Corona. Hivi hamjui wenzetu wanafariki? Hivi mnajua uchungu wa kumpoteza ndugu au mtu kipenzi? Naomba tusitengeneze chuki baina ya mataifa pekee yenye ushindani shababi EAC.
It is a fact they won't accept that they truly need our aid, ila tukirudi kwenye uhalisia, Wakenya wanatuhitaji mahasimu wao muda huu.
Kama kweli tunaamini ushindi wetu Tanzania dhidi ya Corona ni kutokana n kudra za Allah, basi tusimbeze Allah kwa kutupa mafanikio haya. Mungu sio athumani, tujitahadhari.