INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

Hii tabia sio nzuri mkuu tabia ya fisi mnaweza mkaamka asubuhi mkakuta kichwa bila kiwili wili cha ndugu yenu mlangoni sijui itakuwaje hapo.
 
mbona kama hizo picha zinaonyesha ni kuchoka kwa kutoangaliwa mda mrefu?
...Na mimi nimeona hivyo hivyo mkuu Doninie. Ni suala la ujenzi hafifu wa Kaburi kukosa utunzaji tu!
Kwamba baada tu ya ndugu kumzika ndugu yao, hawakurejea tena angalau kuchungulia tu Kanuri linaendeleaje!...
 
Inawezekana kabisa, ila CCM wataogopa kupoteza kura
 
Hii inanikumbusha my beloved uncle and Aunt wamelala eneo ilo,wapumzike kwa amani adi Kristu atakapo kuja mara ya pili[emoji120]
 
Serikali ilishafunga makaburi ya kinondoni kwa sababu kumejaa na kuhamishia ununio kwa kondo. Kinachofanyika ni uhuni, ukienda na pesa yako ndefu wanakuuzia unapata sehemu ya kuzika
Kumbee?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…