Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Bujibuji Simba Nyanaume Vip mkuu ulikuta Ndugu yako anaendeleaje? Au nae kavunjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kwenu? Mfano labda Mnasafirisha kuzika kijijini kwenye makaburi ya ukooHapo kinachofanyika ni uhuni wa daraja la juu. Tulinunua eneo la kuzikia sh millioni 2, tukaambiwa tulipe laki 3 ya wachimbaji. Aisee kwenye kaburi la ndugu yangu ilifukuliwa mifupa ya mtu aliyezikwa zamani. Tukiwa tunazika, wachimbaji wakaomba waifukie mifupa ya yule marehemu wa Kwanza mle kaburini
Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
Vipi ndugu mbona unafufua uzi leo? Umeonana nini? Japo nami sitaki kusema kwa nini nimelazimika kuufungua huu uzi.Kino ni balaa
Akili zao si za kawaida. Sidhani kama zinafurahisha wengiHii haisikitishi Ni brain, wana akili hao
Akili zao si za kawaida. Sidhani kama zinafurahisha wengi
Who cares? How do we benefits from graves vs establishments and proper use of lands
Mambo tuVipi ndugu mbona unafufua uzi leo? Umeonana nini? Japo nami sitaki kusema kwa nini nimelazimika kuufungua huu uzi.
Lako umezikwa kwa jina gani?Niangalizie na langu kama liko sawa broo
Mi nshasema nikifa waniweke kwemye mkonge wa Serikali waingize wanangu wawili,baba na mdogo wangu wanipeleke kijijini kwetu..kama watashindwa kukodi gari!hapa mjini Mimi hapana!Hamna kwenu? Mfano labda Mnasafirisha kuzika kijijini kwenye makaburi ya ukoo
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]daahhNiangalizie na langu kama liko sawa broo
Aseehh!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ahsante jf!Lako umezikwa kwa jina gani?
Haya yamechoka tuMakaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
Huku sifa za mjini kuzikwa Kinondoni kiwanja cha kaburi milion kumi
Kuna siku nilienda msibani, sa wakati wa kuzika tukiwa makaburini sheikh akatoa speech
Akiwataka wanaozika ndugu zao kwenye makaburi ya eneo hilo waache mara moja tabia ya kujenga makaburi kwa cement, concrete au tiles
Maana eneo hilo limekwisha jaa hivyo kufanya hivyo unakua unazuia wengine washindwe kuzika ndugu zao, utaratibu uliopendekezwa ni kuzika bila kujenga ili siku za mbeleni mwingine apate nafasi ya kuzika juu yako
Umekufa lini?Niangalizie na langu kama liko sawa broo
Kitambo mkuuUmekufa lini?
0haha hahah hahahKitambo mkuu
Prestige..Hivi kwanini watu huwa wanajengea makaburi ?