Kuna watu wanafariki inabidi wawekewe kumbukumbu. Lakini makabila ya ajabu ajabu mkifa mnasahaulika hata na watoto wenu huna haja ya kujengewaHivi kwanini watu huwa wanajengea makaburi ?
Makaburi mazuri tu yako yako kunduchi kwa kondo ila Dar nyodoHivi Jiji la Dar limeandaa maeneo mengine ya kuzika wafu, maana Kinondoni ni kama pamejaaa sasa
Kumekuchaohooo
Mshana unalikumbuka lile tukio la watu kujifanya mazombie,wakatoka makaburiniMungu anisamehe lakini tulifanya sana matusi na kuroga kwenye hayo makaburi miaka ileee
Bado yale makaburi ya kinondoni juuKumekucha
Laiti ungejua nini maana ya tamko "kuabudu" usinge andika kilichopelekea mimi kukuuliza maana ya kuabudu.Mimi mda wakumjibu mjinga na kujibu ujinga sina, mjinga nampa nafasi ya kujijibu ujinga wake.
Hakuna watu bora kuwazidi mitume,athari ya mema huwa haifutiki na Mola wetu huwa anakipa uhai mrefu kilicho chema.Kuna watu wanafariki inabidi wawekewe kumbukumbu. Lakini makabila ya ajabu ajabu mkifa mnasahaulika hata na watoto wenu huna haja ya kujengewa
Kisutu Napo hapajai, je nini kinafany pasijae?Bado yale makaburi ya kinondoni juu
Nayo michezo ile ile
Ova
Kisutu Napo hapajai, je nini kinafany pasijae?Bado yale makaburi ya kinondoni juu
Nayo michezo ile ile
Ova
Kiukweli sehemu hizo zote za makaburi zimejaaKisutu Napo hapajai, je nini kinafany pasijae?
Kiukweli sehemu hizo zote za makaburi zimejaa
Watu wabishi tu kwenye kuzika huko
Labda serikali ipige stop tu sasa maenro hayo kuzika watu
Ova
Tutoke Mwanagati tukazikane Bahari Beach?Kifupi jiji la dar Lina eneo kubwa zuri sana la makaburi liko kunduchi linaitwa kwa kondo nendeni kuzika huko
Kiukweli sehemu hizo zote za makaburi zimejaaKisutu Napo hapajai, je nini kinafany pasijae?
Yah kweli kabisaWatu wa mipango miji pia Wana sehemu ya lawama kwa haya yanayotokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wateja walitimka na kuacha vitu mezani .. Kuja baadae kuangalia jamaa wameacha mishuka na mimiti yao mezaniMshana unalikumbuka lile tukio la watu kujifanya mazombie,wakatoka makaburini
Kuwatimua jamaa waliyokuwa wanalewa opp
Na mlango wa kuingia ,unaikumbka ile grocery
Kitambo sana wazee,wajanja wa mjini walikuwa wanapenda kukaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wazima walitoka nduki
Ova
Hili la Rip Mpangala ninadhani hapo lilikatwa na watu wa (chuma chakavu) kuondoa nakshi ya metal iliyokuwepo hapo na siyo kwa ajili ya kuvunja.
Mkuu Mubarridi unaonaje ukijijibu wewe mwenye ujinga wako, na iwe faida kwako, ili ubaki na ID yako?Laiti ungejua nini maana ya tamko "kuabudu" usinge andika kilichopelekea mimi kukuuliza maana ya kuabudu.
Hili tatizo la kutokujua maana ya maneno mnayouatumia limekita mizizi sana humu jf.
Mkiwa mnajadili mijadala ya kielimu muhakikishe mnajua maana za maneno mnayo yatumia. Wewe nakupa miaka kumi ulete maana ya kuabudu ukipatia katika hiyo maana mimi situmii tena hii ID.