INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

Mi nauliza kitakachofuata hv ni nini maana watu wanaongezeka na ardhi inazidi kupungua.......hatutokuja kuwaunga mkono wale wanaochomana moto kweli?
 
Mkuu Mubarridi unaonaje ukijijibu wewe mwenye ujinga wako, na iwe faida kwako, ili ubaki na ID yako?
Yaani kuhusu tamko "kuabudu" mimi nakufundisha wewe sababu umekosea kulitumia. Kwa ufupi huju maana ya kuabudu.

Mpaka nikasema hivyo najua hujui. Sasa jibu swali nililo kuuliza.

Haya matatizo wengi humu nikijadiliana nao wanatumia maneno kibubusa yaani wanapotosha maana na ni sababu hamsomi waa kufanya utafiti.

Sasa someni vijana muache ujuaji wa kijinga na kupoteza muda. Swali dogo tena kuhusu tamko ulilo litumia na hujui maana yake. Huu ni upumbavu ulio pea.
 
Nasikia mtu akifa anageuka kuwa mzima
 
Makaburi hayo yavunjwe yote hilo eneo pawekwe miradi ya maendeleo,hii stereotype ya kuabudu makaburi ifike mahali iishe,kila mtu anazikwa Kinondoni mtu anaishi Mbezi Luis ila anafariki anazikwa Kinondoni upuuzi sana.
 
Makaburi hayo yavunjwe yote hilo eneo pawekwe miradi ya maendeleo,hii stereotype ya kuabudu makaburi ifike mahali iishe,kila mtu anazikwa Kinondoni mtu anaishi Mbezi Luis ila anafariki anazikwa Kinondoni upuuzi sana.
Kuzkwa Kinondoni ni ujiko, alisikika mwanasisa akiomba kura
 
Fisi hao wakikosa maiti watahamia kijijini
 
Mkuu; Usishangae tu - Ila ww na Wadau chukueni hatua ya kuishauri Manispaa ya Kinondoni kuanzisha Makaburi ya Ghorofa. Kwa kufuata utaratibu i.e.Kaburi moja lina weza kuchukua miili 4-5. Na Kibao hapo juu kitaonesha majina ya Waliomo (Miili iliyosetirika hapo) Hakuna nembo ya Dini. Fuatilieni kinachofanyika Denmark .
 
Hivi makaburi ya Kinondoni huwa hayajai? Na haya ya Sinza?
 
Kuangalia maendeleo ya ndugu yako aliyelazwa apo. Maendeleo gan uliyoenda kuyatazama bwashekh
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…