Kila mwaka kuna chama cha diaspora cha US kinaitwa Dicota
DICOTA – Diaspora Council of Tanzanians in America kila mwaka kinafanya tamasha la wataalamu wa Afya kwa lengo kubwa la kusaidia utaalamu na kuongeza ushirikiano Tanzania. Kwa sasa mwenyekiti ni Dr ambaye anafanya kazi zake Yale Medical center kama Radiologist. Tayari kwa uzalendo wake amesaidia Muhimbili sasa unaweza kupata CT, MRI na ikasomwa na Dr wa Yale na hii inasaidia hasa kwenye magojwa kama kujua cancer mapema. Mwaka huu serikali haijatuma mtu wala balozi hakuwepo sasa kuulizia kwa undani wanasema sababu ambayo haisemwi ni viongozi hawajapenda mapokezi makubwa ya Lissu US.
1.Nchi hii hakuna mtu ambaye anaweza kumzuia mtu mwingine asiongee kisheria na huwezi kutuma polisi sababu tu mtu hukubaliani naye
2. Diaspora wa US sio kila mtu sawa kuna wa kila aina
3. Serikali wekeni wazi kama kuna kitu na sio kususia mambo ya kusaidia Watanzania!
4. Kususia diaspora wote kwa sababu ya wachache haina tija kwa Taifa. Mfano huyu Dr ameacha kazi zake wa Watanzania wengine kwenye hii Health industry kwa mapenzi ya nchi yao. Hata kama ukibaliani nao wanafanya kwa manufaa ya nchi
5. Tuacheni utamaduni kwa kila kitu kuweka siasa na kutafuta wachawi kila mara. Wakati mwingine hakuna wachawi ni sisi wenyewe tu
Pascal Mayalla