Inasikitisha, mpaka Sasa Simba hawajui watatumia uwanja gani?

Inasikitisha, mpaka Sasa Simba hawajui watatumia uwanja gani?

Kuna msimu Mangungu alikua akihojiwa aliwahi kusema wanaweza amia ligi ya Zanzibar, Sasa kitendo Cha kutaka kuamishia mechi za ligi Zanzibar unaweza kuta ni Cha kweli.
Sasa sielewi sijui huwa hawasomi katiba ya Tff na kanuni zake!!!
Maana viongozi wa Simba shule wameenda Sasa sijui shida inatoka wapi?

Tff nao wakijichanganya tu wakakubali wataleta shida kubwa maana kunatimu zitagoma kwenda Zanzibar na kanuni inawabeba wao kutocheza Zanzibar na apo ndipo timu zitakimbilia mahakamani kusimamisha ligi mpaka zipate ufafanuzi wa kikanuni.
Kanuni tunaweza kurekebisha chap tukahamia Zanzibar
 
Back
Top Bottom