njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa
Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa kwa kufata mfumo wa klabu za la liga pamoja na kupigiwa kelele kwa muda mrefu bado imekausha kimyaaaaaaa
haijulikani kama ni kiburi cha pesa waliyoweka huko Tff mwaka jana kupitia Gsm na kutaka simba ivae logo za gsm kwa milions 3 kwa mwezi au ni nini haswa maana hata deal hilo la ajabuajabu liliperuka hewani huko klabu viherehere waliokubali kuvaa nembo hiyo begani havijalipwa hadi leo na vimeufyata
Wakati unaendelea kujiuliza jeuri hii inatokea wapi usije shangaa majibu ya yule ropokaji lao kumtukana matusi ya nguoni Rais wa Tff yakaja tofauti kabisa maana hadi sasa haijulikani jeuri yao haswa iko wapi probably ile billions 2 bado iko huko Tff