Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Naweza tu kusema kuwa inasikitisha ile mbaya sana baada ya jana kufika dar nikitoka shule nilishangaa mwenyewe
Ile nafika mitaa ya sinza kwa remy nikakutana na ugomvi wa mawe kati ya mwanaume na mwanamke, ugomvi ulikuwa ni mkali sana had watu wakaingilia kati
Nikaona siyo mbaya ngoja niulize watu hawa wanagombania nini? Kwanini wasikae tu wakayamaliza? Si nikaambiwa hawa watu wanamugombania mwanaume, nikaendelea kuambiwa huyo mwanaume huwa anamchukua huyu mwanaume aliyekuwa anagombana na ashampangishia na chumba na huwa anamgalamikia kwa kila kitu lakin tena huyo mwanaume ambaye kapangishiwa chumba na mwanaume mwenzie kasikia kuwa mume wake huyo aliyempangishia chumba anatoka na huyu dada hivyo bas huyu mwanaume aliyeolewa kachukia na ana wivu sana ndo maana kaamua kuja kuanzisha tifu tifu ili huyu dada aachane na mume wake
Baada ya kusikia hivyo nilichoka mwenyewe nikanyosha mikono juu kwa haya mambo niliyo yaona huku daresaalamuu
Wanaume achen kupenda kitonga/miteremko tunaabishana sana aisee
Kwahiyo saiv dunia imefika hatua ya kuwa mwanaume na mwanamke wanamgombania mwanaume? Du inatisha
Ngoja nisikite kichatle hiiiiiiiiiiiii
LONDON BOY