Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo.
Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo kwenye nchi yetu ni wazi kuwa wasanii hawapo huru wameamua kuunga mkono chama tawala ili kulinda kazi na mali walizo nazo.
Soma Pia: Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?
Katika uhalisia idadi ya wasanii walio jiingiza kwenye siasa tena ya chama kimoja yani chama tawala sio ya kawaida hata kidogo sizani kama kuna nchi nyingine hapa afrika mashariki au afrika kwa ujumla zinafikia idadi hii,
Jambo hili ndio maana ninasema pengine wasanii wetu hawapo huru na inatia mashaka kwamba pengine wasanii wetu wapo kwenye control ya chama tawala hawapo huru.