Anayepanga rais wa Tanzania, sio wewe, sio yeye, wala sio sisi au mtu mwingine yeyote, anayepanga ni YEYE, kama aliyempangia ni YEYE, hii ina maana ni YEYE aliyepangiwa, kumlaumu ni kumuonea bure tuu huyu mama wa watu!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Tanzania ni nchi ya kuombewa na wote tuombe huko mbele tupale Raisi Mzalendo ambaye anapenda nchi kuliko cheo na maslahi binafsi.