Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka nikashtuka kdg maana sio taarifa njema kuuliza kwann nawaambia alikuwa mduanzi ana mambo mengi sikutaka kuhoji sana nikaona nikaushe
Kidogo ananipa taarifa nyingine ya ndoa kuvunja kutoka kwa br mwingine yuko mkoa x uko huyu sasa mke wake aliizaa nae watoto 4 sabbu ya kuachana mke alimshauri br wahame mkoa waliopo waamie pwani kufika uko demu akaamkataa br mazima imagine inaumaje
Kuna br mwingine alioa mwanamke baada ya mwezi mke akazingua ndoa ikavunjika huyu wa 3
Inasikitisha na wananitisha uyo wa kwanza kabla hajaoa wazazi wake walimsihi atafute mwingine akakaidi
Kataa Ndoa wana Point Wasikilizwe