Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Nilijua haya mambo yameisha. Kumbe bado.👇
==============
Taarifa ya kutekwa/kupotea Amosi Lukinda, siku ya Jumamosi June 20, 2026, Lukinda aliaga kwamba kuna watu wamemuita wanashida nae huko maeneo ya (Bwanga) Nyakanyondwa CHATO, alidai angewahi kurudi ili ashiriki mazishi maana aliondokea msibani kwenye mtaa ambao anaishi.
Amosi Lukinda aliacha maagizo kwa Viongozi wa Nzengo ili kumpa taarifa ya kila hatua itakayofikiwa hapo msibani lakini alipopigiwa simu akawa hapatikani hewani hii ilikuwa saa sita mchana siku ya Jumamosi yani June 20, 2026 mpaka simu yake haijawahi kupatikana na haijulikani yupo wapi?
Amos Lukinda ni Katibu wa Chama cha UDP Wliaya ya CHATO na Msaidizi wa kisheria kwenye Taasisi ya (COPADEA) Wilayani CHATO.