[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
janja sana hawa watu, he's there for somethinghuyo ni marketing manager wa star times...
alivyofika bongo tu. mbinu yake ya kwanza ni kujua kiswahili fasta.. na kujichanganya. na hii imemsaidia sana kuipromote star times..
hata hiyo bongo star search anazingua tu kuweka ladha..
hii ndio inaonesha ubunifu... hii haofundishwi chuo kikuu.. ni ujanja wa kibiashara
Magufuli na wakina sie tunaingia kwenye kundi hilo moja kwa moja.Ukweli ni kwamba wengi wanaokiponda kingereza hawako fluent katika lugha hiyo!
Tukubali tu, kingereza kina wenyewe!
Kutoa ushubuda wa uongo kunakusaidia nini ?Haina haja, nenda mtaa wa Congo, Kariakoo, utawaona mwenyewe..
Hahahahaaaaaa "...heri yangu Mimi sijasema...."Magufuli na wakina sie tunaingia kwenye kundi hilo moja kwa moja.
Kutoa ushubuda wa uongo kunakusaidia nini ?
Nilishawahi kukaa na mzungu akasema chinese ni ma genius
Mchina mshenzi sana