Inasikitisha sana kuona mchina Juma Sharobaro anakijali na kukithamini kiswahili kuliko sisi wazawa

Inasikitisha sana kuona mchina Juma Sharobaro anakijali na kukithamini kiswahili kuliko sisi wazawa

huyo ni marketing manager wa star times...
alivyofika bongo tu. mbinu yake ya kwanza ni kujua kiswahili fasta.. na kujichanganya. na hii imemsaidia sana kuipromote star times..

hata hiyo bongo star search anazingua tu kuweka ladha..

hii ndio inaonesha ubunifu... hii haofundishwi chuo kikuu.. ni ujanja wa kibiashara
janja sana hawa watu, he's there for something
 
Ukweli ni kwamba wengi wanaokiponda kingereza hawako fluent katika lugha hiyo!


Tukubali tu, kingereza kina wenyewe!
Magufuli na wakina sie tunaingia kwenye kundi hilo moja kwa moja.
 
Mchina mswahili huyu khaa!!

Najiuliza jina la juma kapewa na nan
 
Back
Top Bottom