Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kweli Rais Samia hana washauri..
Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake.
Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia kisiasa.
Wizara kama hii ambayo ni nyeti kwa usalama wa taifa ilipaswa kuwa chini ya mwanasiasa anayejua masuala ya siasa za kiusalama kwa undani . Sio mtu kama Patrobas Katambi aliyehamia CCM kwa kununuliwa ili ajaze choo chake.