Inasikitisha sana

Inasikitisha sana

Phobia

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,156
Reaction score
1,819
Aisee inasikitisha sana. Moyo wangu umejaa chuki na hasira kwa huu upumbavu wa CCM na Serikali aisee hatujifunzi? Nina hasira na chuki aisee.

R.I.p my mate and colleugues

255752427370_status_ec030a2a348f4c308d6fd50bbd88fec5.jpg
 
So sad [emoji17][emoji20] we are dust and to dust we shall return.......
 
Aisee inasikitisha sana. Moyo wangu umejaa chuki na hasira kwa huu upumbavu wa ccm na serikali aisee atujifunzi? Nina hasira na chuki aisee. R.I.p my mate and colleugues
ACHA makasiriko wewe Mujwao...tumesoma wote.... Vizungu vya nini Mujwao.....Kwani CCM ndio wamewauwa?...aaah Acheni hizo Bwana...

Vijana wa kitanzania sijui mmekuwaje siku hizi....kwà akili zenu suala hili mtasingizia KATIBA MPYA
 
Sawa mke mdogo wa mzee Ameir na mchepuko wa kihongosi
 
Back
Top Bottom