Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo

1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia?

2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.?

3. Nyama mnapewa bure?

4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.?

5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.?

6. Mnatibiwa bure na watoto wenu?

7..watoto wenu wanasoma bure shule Nzuri.?

8. Bรกrabara zenu ni za lamรญ hazina makorongo wala mabonde mabonde.?

9 watoto wenu woote wana ajira ?

10. Mna mishahara minono kwerikweri.?

11. Wanaukoo wenu woote Maisha Safi?

Afu anaotokea chalamila kashiba makande anawaamulisha?
 
Achana na mazezeta yanayolinda ugali kwa kutumikishwa kushiriki Mambo ya ajab
 
Kwani Machadema yakiwa Ikulu ndio Wana ukoo wa Wanajeshi maisha Yao yatakuwa poa?

Maneno ya wakosaji ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wale wa kada za juu ndio wanafaidi, hawa, wa chini,njaa tu, ndio maana wapo tayari kuua kisa milioni Sita tu(kuna kesi mtwara ya, vigogo wa polisi,nawaombea wapate kitanzi tu).

Nchi IPO captured na majizi, ya, CCM, kuyatoa haya,ni, mapinduzi, tu, kama alivyoondolewa Habyarimana kule Rwanda
 
Ingekuwa njaa watu wasingekuwa wanagombania hizo nafasi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Dar kuna zoezi la usafi kuanzia tarehe 23 hadi 24 January 2024.

Majeshi yote yatakuwepo. Njoo tushiriki usafi wa Jiji letu Kuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ