Inasikitisha........wanakosea wapi hawa ndugu zetu wasanii?

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,171
Reaction score
15,760
Sijui nini huwa kinatokea kwa wasanii wetu baada ya kuwa maarufu? Nakumbuka Feruzi aliwahi kumiliki gari aina ya "Jeep" na kuwa msanii wa kwanza mwenye gari ya gharama akifuatiwa na Lady JayDee aliyekua na Prado. Sijui nini kilitokea, lakini kwa sasa yupo katika hali hii. Kuna haja ya kuwafundisha wasanii wetu namna nzuri ya kuboresha maisha yao wanapopata umaarufu.!hii inimeitoa mahali na naiweka kama nilivyoichukua.
 
Nimeikuta kwa soudy. Sembe on fleek. Ila tushukur wasani wasiku hizi wamejifunza nakujitambua kwao cases kama hizi ni chache
 
ina maana wao ndo binadamu pekee? inshu ni jamii sembe noma hata wao wanapoteza mashabiki wao kwa kula sembe jamii ielimishwe ubaya wa hiyo kitu
 
Sembe na usanii ni vitu vunavyo endana hata USA ime ua wasanii wengi sana
Toka kina Elvis Presley enzi hizo
 
Yaan asikwambie mtu sembe balaa mno alaf pesa wanapata ya kutosha tu lakini wao wanataka kingi mno kwa wakati mmoja alaf kingne huyu ndugu yetu tunayemuongelea kila sku anaitwa "mapenzi" naye anachangia xana
 
Ushahidi kuwa wanatumia ngada upo wazi hauhitaji kutoa summons kualika mashahidi, sijui kwanini hawafungi vifungo vya kibabe iwe fundisho kwa wengine.

Kuleana kumezidi.
 
wakuu msinisumbue..nipo bize mno...najaribu kugundua hilo pozi ni anacheka, analia, anasikitika au anashangilia
 
ina maana wao ndo binadamu pekee? inshu ni jamii sembe noma hata wao wanapoteza mashabiki wao kwa kula sembe jamii ielimishwe ubaya wa hiyo kitu
Ila mtu kama Ferooz angetakiwa yeye ndo atumie sanaa yake kuelimisha jamii,ni kushindwa tu kutumia fursa.kama alivyotoaga song kuhusu HIV ika hit angetoa ngoma kuhusu madawa ingeweza kumtoa vilevile.
 
Kuna uzi kama huu. Mods Mungu anawaoneni. Mnamuonea Feroo
Hatumuonei mkuu,kupitia yeye tunawaokoa wadogo zetu,kaka zetu na hata rafiki zetu kuikimbia hii kitu.wakiiona taswira yake mwanzo na sasa alivyo hakuna atakesogelea cocaine.ifikie mahali tuikubali hali halisi kukimbia tatizo sio solution.
 
Ila mueonekano wa feruzi wa siku zote ndiyo huo-huo wa kwenye Picha, akiwa na pesa na akiwa hana pesa.
 
Ushahidi kuwa wanatumia ngada upo wazi hauhitaji kutoa summons kualika mashahidi, sijui kwanini hawafungi vifungo vya kibabe iwe fundisho kwa wengine.

Kuleana kumezidi.
Inaonekana wewe unamaamuzi magumu na hupendi ujinga [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wasanii wetu wanajisahau sana... hawana miongozo juu ya kubadilika alama ZA nyakati...serikal kupitia wizara husika wanatakiwa wabebe jukumu la kuelimisha jamii yote juu ya madhara ya dawa za kulevya
 
Uyo dada aliyepiga nae picha sijui wamemladhimisha yaan ntalud tena ngoja niangalie pic vzr ila ferooz ww daah Mungu akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…