Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Sijui nini huwa kinatokea kwa wasanii wetu baada ya kuwa maarufu? Nakumbuka Feruzi aliwahi kumiliki gari aina ya "Jeep" na kuwa msanii wa kwanza mwenye gari ya gharama akifuatiwa na Lady JayDee aliyekua na Prado. Sijui nini kilitokea, lakini kwa sasa yupo katika hali hii. Kuna haja ya kuwafundisha wasanii wetu namna nzuri ya kuboresha maisha yao wanapopata umaarufu.!
hii inimeitoa mahali na naiweka kama nilivyoichukua.