yani hata mkuu wetu umuoni lakini me sipendi uchochezi wote wapo hivyoKwanini wasayansi hawawezi labda?
Ivi kila kitu mnataka picha.... Hata jambo la kulitafakari akilini na kutoa maoni??? Tufike mahal tutumie akili zetu walau kidogo tutunaomba mfano au picha
Pana tatizo kubwa.....Tuprove kitu kwa kutumia milango ya fahamu, hapo nako bado tu wataka ushahidi tena?, kaz kaz!
Anachokisema kina ukweli fulani.... Shule ni kila kitu dia.. Kuna tatizo pale mtu msomi anapotoa comment za mtu asiejua shule., na mtu msomi akiona kitu kimempitia kushoto huwa wanakaa kimya tu! Sasa ukikuta wasomi wanaoropoka pumba ndio wanaonisikitisha na mimi pia.mkuu hii ni jamii we unachukulia serios mwenzio anaona haupo serious anaamua kuropoka.. wakati mwingine wewe ndiyo unatatizo unataka majibu unayofikiria wewe ndiyo maana unaona ya kiprimary.. halafu mkuu si kwamba mtu akiwa msomi kwama anauwezo wa kuchambua mambo yote ... labda kwenye field yake tu na si kwingine...
kingine hatufanani upeo mkuu wa kuona mambo
We nae!!Msomi ni nani?
Tuanzie hapo kwanza.
Sawa mkuuAnachokisema kina ukweli fulani.... Shule ni kila kitu dia.. Kuna tatizo pale mtu msomi anapotoa comment za mtu asiejua shule., na mtu msomi akiona kitu kimempitia kushoto huwa wanakaa kimya tu! Sasa ukikuta wasomi wanaoropoka pumba ndio wanaonisikitisha na mimi pia.
Kama hatujaweza kujibu swali hili, mjadala mzima hauna maana.We nae!!
mkuu hata we nilijua tu ni wasayansi sababu nyie hamtaki kuambiwa 1+1=3.. magwin wao atkupa jibu na sababu nyingi hapo ndiyo tunapotofautianaEti wote ,mbona mi nimepiga mamechanics, macalculus maorganics chemistry, lakin kwenye hoja hunambii kitu.
Pamoja sana , shukrani sanaAnachokisema kina ukweli fulani.... Shule ni kila kitu dia.. Kuna tatizo pale mtu msomi anapotoa comment za mtu asiejua shule., na mtu msomi akiona kitu kimempitia kushoto huwa wanakaa kimya tu! Sasa ukikuta wasomi wanaoropoka pumba ndio wanaonisikitisha na mimi pia.
unaona sasa hata hutaki kuelewaMbona upo nje ya mada kabisa
haya bana naona weye una PhDKama wewe umeishia la saba sawa