Inasikitisha wasomi tegemezi kutoa comments za kusikitisha

Inasikitisha wasomi tegemezi kutoa comments za kusikitisha

Shida inakuja pale mleta mada nae alikuwa anatania, au stori ya kutunga tuu.
Ni mara nyingii sana kunakuwa kunakuwa na mada za utani halafu bila kujua watu wanajipinda na keyboard kumshauri mtu baadae ndo inakujajulikana ni mchezo wa mtoa mada kucheza na mawazo ya watu.
Hilo limechangia kwa kiasi kikubwa wana jf kutokuwa serious sana na mada
 
Niwashukuru wafuatao kwa comments zao na ushauri wao mzuri kabisa,
Big up;

1.ladyaj
2.kassimneema
3. Stunter
Na wengine kibao siwakumbuki vizuri.
 
tunaomba mfano au picha
Ivi kila kitu mnataka picha.... Hata jambo la kulitafakari akilini na kutoa maoni??? Tufike mahal tutumie akili zetu walau kidogo tu
 
mkuu hii ni jamii we unachukulia serios mwenzio anaona haupo serious anaamua kuropoka.. wakati mwingine wewe ndiyo unatatizo unataka majibu unayofikiria wewe ndiyo maana unaona ya kiprimary.. halafu mkuu si kwamba mtu akiwa msomi kwama anauwezo wa kuchambua mambo yote ... labda kwenye field yake tu na si kwingine...

kingine hatufanani upeo mkuu wa kuona mambo
Anachokisema kina ukweli fulani.... Shule ni kila kitu dia.. Kuna tatizo pale mtu msomi anapotoa comment za mtu asiejua shule., na mtu msomi akiona kitu kimempitia kushoto huwa wanakaa kimya tu! Sasa ukikuta wasomi wanaoropoka pumba ndio wanaonisikitisha na mimi pia.
 
Sawa mkuu
 
Kama hatujaweza kujibu swali hili, mjadala mzima hauna maana.

Kitu cha kwanza katika mjadala wa maana ni definitions.

Kwa sababu tunaweza kuhusu wasomi hivi, wasomi vile, kumbe tunaongelea vitu tofauti.

Msomi ni nani?

Ili mtu aitwe msomi inabidi awe na sifa gani?

Sent from my LGLS992 using JamiiForums mobile app
 
yani hata mkuu wetu umuoni lakini me sipendi uchochezi wote wapo hivyo
Eti wote ,mbona mi nimepiga mamechanics, macalculus maorganics chemistry, lakin kwenye hoja hunambii kitu.
 
Eti wote ,mbona mi nimepiga mamechanics, macalculus maorganics chemistry, lakin kwenye hoja hunambii kitu.
mkuu hata we nilijua tu ni wasayansi sababu nyie hamtaki kuambiwa 1+1=3.. magwin wao atkupa jibu na sababu nyingi hapo ndiyo tunapotofautiana
 
Anachokisema kina ukweli fulani.... Shule ni kila kitu dia.. Kuna tatizo pale mtu msomi anapotoa comment za mtu asiejua shule., na mtu msomi akiona kitu kimempitia kushoto huwa wanakaa kimya tu! Sasa ukikuta wasomi wanaoropoka pumba ndio wanaonisikitisha na mimi pia.
Pamoja sana , shukrani sana
 
mkuu hata we nilijua tu ni wasayansi sababu nyie hamtaki kuambiwa 1+1=3.. magwin wao atkupa jibu na sababu nyingi hapo ndiyo tunapotofautiana
Mbona upo nje ya mada kabisa
 
unaona sasa hata hutaki kuelewa
Labda umenizidi uelewa apo, uprove vp 1+1=3, labda umexhimba zaidi integration & differentiation, njoo tuyajenge & na tushindane kwa hoja.
 
Back
Top Bottom