Inasikitisha wasomi tegemezi kutoa comments za kusikitisha

Labda umenizidi uelewa apo, uprove vp 1+1=3, labda umexhimba zaidi integration & differentiation, njoo tuyajenge & na tushindane kwa hoja.
i naweza kusema 1+1=3 , kwa sababu moja moja inaweza kuvunjika ikaongeza idadi zikawa tatu ..
 
Ivi kila kitu mnataka picha.... Hata jambo la kulitafakari akilini na kutoa maoni??? Tufike mahal tutumie akili zetu walau kidogo tu
Don't take it serious

Kwahiyo unaamini nilitaka picha kweli? Picha ya kitu gani kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…