miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
i naweza kusema 1+1=3 , kwa sababu moja moja inaweza kuvunjika ikaongeza idadi zikawa tatu ..Labda umenizidi uelewa apo, uprove vp 1+1=3, labda umexhimba zaidi integration & differentiation, njoo tuyajenge & na tushindane kwa hoja.