Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

Ukiipata bikra njoo utupe mrejesho
Ninae tena yuko chuo Dom" Niko 100% Huyo ndio ntaoa hawa wa mtaa ni wabrashi tu tangu huu mwaka uanze vibikra nimepita nao kama 7 but mikoa tofauti..Mbona ma bikra wako wengi tu..Labda kama nyie KE mmkosa wanaume mabikra
 
Ninae tena yuko chuo Dom" Niko 100% Huyo ndio ntaoa hawa wa mtaa ni wabrashi tu tangu huu mwaka uanze vibikra nimepita nao kama 7 but mikoa tofauti..Mbona ma bikra wako wengi tu..Labda kama nyie KE mmkosa wanaume mabikra
100%??umekua Mungu ckuiz
 
Kwa maisha ya siku hizi umri ni jambo dogo sana tena linakuja watu wameshapendana. Japo wanaume wengi wanakwepa kuoa wanawake wenye umri mkubwa kuliko wao, lakini tafiti zinaonyesha mwanamke akimzidi mwanaume umri ndoa inakua na amani na inadumu
 
Ni vizuri mwanaume akamzidi mwanamke ila isiwe sana, muwe na umri tofauti lakini rika moja, mkiwa na umri tofauti sana mtatofautiana interest harafu mnakuwa na life experience tofauti kitu kinachoweza kuleta migogoro, mfano mwanaume miaka 40 mwanamke miaka 23, mwanaume mambo ya 23 yrs anakuwa ashayaacha muda mrefu, anakuwa na interest tofauti anawaza kujenga, maendeleo, wakati binti wa miaka 23 anawaza shopping, kuchart fb, bbm, n.k so anajikuta anamiss sana kushare mambo fulani fulanitna wanaume wa rika lake, sasa hapo ndipo kuchapiwa kunapoanza, ni ngumu sana kuwakuta wanandoa waliopishana sana kiumri wakicheza beach kimahaba mahaba kwani mwanaume anakuwa hana interest na mambo yale, yeye ni kuzaa, kulea na kutafuta hela, hakuna cha baby baby, honey..Pia idadi ya miaka ya kuzidiana inategemea umri wa mwanamme kwa wakati huo, either kawahi kuoa au kachelewa, mfano kijana anayeoa akiwa na miaka 20, mara nyingi anaoa mwanamke wa umri wake kabisa kama sio kumzidi miaka 2 au 1, lakini mtu wa miaka 50 ni ngumu kuona kaoa mwanamke wa miaka 45 hadi 50, ataoa kuanzia 30 hadi 40.
Mimi Nina 29 nina mke wa 20 nimepita kiasi Sana?
 
Back
Top Bottom