Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuu Mambo mazito sana !!.
Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
Naona huyo Polepole anaamini atatupoteza maboya kuwa Magufuli alikuwa hahusiki na utekaji ama mauaji ya wakosoaji wake. Hizi porojo ziletwe na mtu mwingine, lakini bado hutajasahau ukatili ulioondeshwa hapa nchini chini ya utawala wa Magufuli.Wakuu Mambo mazito sana !!.
Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
Kwanini waliopotea ni Wasaidizi wa mwenyekiti wa Ufipa tu? 🐼Naona huyo Polepole anaamini atatupoteza maboya kuwa Magufuli alikuwa hahusiki na utekaji ama mauaji ya wakosoaji wake. Hizi porojo ziletwe na mtu mwingine, lakini bado hutajasahau ukatili ulioondeshwa hapa nchini chini ya utawala wa Magufuli.
Bora Lissu aendelee kukaa rumande mana wafuasi wake sasa hivi mmehamia kwa Slowslow. Leo hii Lissu akiititisha press huku na muda huo huo kuna press ya Slowslow nna uhakika wote mtatune channel ya Slowslow na kumtosa LissuWakuu Mambo mazito sana !!.
Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
VIongozi wakuu wa wanamtandao ni Msoga na RA, na ndio wanaopanga na kusimamia uporwaji na uuzwaji wa rasilimali za Tanganyika kwa waarabu wakimshirikisha Abdlu.Wanamtandao ni kina nani?
Weka video cha kipande hicho kama wewe sio muongoWakuu Mambo mazito sana !!.
Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao