Sure mie huwa ni mwanafunzi wa leo ili kesho niongoze .
But pamoja nahilo, sioni uhusiano wa moja kwa moja wa Singo.mama na Tabia mbovu .
Sioni kabisa !!!. Yaan ukiona singo mama mwenye tabia mbovu, ujue hata kama ungemuoa bila mtoto bado angekuimbisha mikono juu mwendo wamateka.
Unajua kuna tofauti ya
[emoji117]Nashukuru sana kwa kunitenda, Mungu ni mwema ipo siku atanipa kinachonifaa pamoja na hali yangu.-----huyu hata kama kazaa watoto wawili anafaa sana, sema Wanaume ndo wanamuangusha .
Dhidi ya
[emoji117]Kwenda uko, kwan mwanaume ni wewe tu , ukiona chann ,wenzako wanakula, na kwa taarifa yako nmezaa lakini bado natongozwaa sanaa upooooo "---- huyu ni hata km hajazaa ni shida juu ya shida
Ivi huu uzi, au sijauelewa..UMEANDIKA KWA MANTIKI YA SINGO MAMA NA TABIA?????( yaaan Lazima aliwe na Mzazi mwenzake au ) .. Kama niili. Ukipata Singo maza Demu( wasojielewa) kweli ataliwa lkn kama utapata singo maza mwanamke , haitakupa shida.
AU SINGO MAMA NA MCHANGO WA HALI YAKE KATIKA HESHIMA YA MWANAUME MBELE ZA WATU YAAAN" jamaa kaoa demu keshazalishwaaaaa "..kama nihili basi amini nakuambia , KAMA HILI LINAKUAIBISHA BASI BADO HUJAWA MTU MZIMA.
NB...Nisikuumize kichwa sana, mwenyewe sijaoa nabado Namawazo ya ujana.[emoji23][emoji23][emoji23]