chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
ww vp lakin chuon unaenda kusomea nn vile?
mm ni engeneer mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww vp lakin chuon unaenda kusomea nn vile?
mm ni engeneer mtarajiwa
mimi ni Quantity surveyor mtarajiwa wa kutoka ardhi(UCLAS)! unaonaje sote tubadilishe twende ualimuu(baed)
kwa sasa haitawezekana kwa kuwa system haijakaa vizuri
system gan hiyo haijakaa vizuri?
Kama nako kuna uozo kama huo basi useme tena kwa nguvu zote tunataka Tanzania iendayo mbele na si nyuma ila huku kumezidi kaka karibu uone
Serikali yetu haieleweki,haijui sehemu za kuweka vpaumbele kwa manufaa ya taifa
so umeshagundua tatizoo la ualimu mpaka watu wana-udiss! Kuhucu kuchukua vilazaa mbna hta kilimo,afya,mifugo wanachua vilazaa
Ni kweli lakini hivo Vilaza wanavyochukua kwa kiasi kikubwa vinatoka au vnasababishwa na walimu
my bundle out!!tmrw