Inatosha sasa hata kama hawatoshi muonavyo nyie kwa kumuakilisha mjomba

Conclusion; naona bora niseme hv katika sekta zifuatazo kilimo,afya,mifugo,ualimu! Kwa level ya certificate na diplomaa zote zinashabianaa kivigezo i.e mtu wa pcb mwenye tokeo la E,S,F anawezaa akasoma ppte pale kati ya sekta tajwa hapo juu!! Angalizo sekta ya ualimu sema haijaliwi sanaa na serikali ndio maana watu wengi wanai-diss, ila kuhusu vilaza sekta zote mbona zinachukua vilazaa tena bora ualimu ngazi ya certificate inachukua mwisho dv 4 ya 27, but hiyo afya,kilimo,mifugo level ya certificate wanachukua had dv 4 29 ili mradi eti umepass biology na chemistry!! Overrr mwenye fact mwingine aleteee, coz leo nimeamua kuwatetea Walimu
 
Last edited by a moderator:

Kama nako kuna uozo kama huo basi useme tena kwa nguvu zote tunataka Tanzania iendayo mbele na si nyuma ila huku kumezidi kaka karibu uone
 
Serikali yetu haieleweki,haijui sehemu za kuweka vpaumbele kwa manufaa ya taifa

so umeshagundua tatizoo la ualimu mpaka watu wana-udiss! Kuhucu kuchukua vilazaa mbna hta kilimo,afya,mifugo wanachua vilazaa
 
Ni kweli lakini hivo Vilaza wanavyochukua kwa kiasi kikubwa vinatoka au vnasababishwa na walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…