Inatrend huko mitandaoni. Kijana huyu atafutwe apewe chakee. KUDOS to the art.

Inatrend huko mitandaoni. Kijana huyu atafutwe apewe chakee. KUDOS to the art.

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
IMG_20210423_060830_375.jpg
 
Mbona habari ya mshiko inakua ngumu kumtafuta, angekua amechafua hali ya hewa angekua nyuma ya nondo tayari.
Kujaribu kuondosha Amani kwa infos za uongo ni tofauti na jambo la kumfurahisha mtu binafs km hyo art for example
 
Yupo kule Mbeya huyu msanii, maeneo ya SOWETO pembeni ya barabara kuu ya Tanzania-Zambia upande wa kushoto kama unaenda. Haya nendeni sasa mkampe chake amepatia sana
 
Yupo kule Mbeya huyu msanii, maeneo ya SOWETO pembeni ya barabara kuu ya Tanzania-Zambia upande wa kushoto kama unaenda. Haya nendeni sasa mkampe chake amepatia sana
Sawasawa...
 
Back
Top Bottom