only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Akitembelea Wizara ya Viwanda na biashara,JK ameendelea kutoa kauli zake zenye mzaha na kutia hasira aliposema ati hajui kwanini Tanzania yenye maliasili mbalimbali zenye kufaha kutumika kama malighafi kwenye viwanda haina viwanda hivyo,aliendelea kusema Japan na Indonesia hazina malighafi lakini wana viwanda sijui Tanzania kwanini haina viwanda...Kauli hii inanikumbusha kauli zifuatazo ambazo haliwai kuzitoa huko nyuma;
source:Channel Ten News Bulletin
- Sijua kwanini watanzania ni maskini...
- Siwajui wamiliki wa Dowans...na sitaki kuwafahamu..
source:Channel Ten News Bulletin