kwa TZ mwana-siasa anajua kila kitu, mfano si ajabu kumwona mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi mstaafu akiwafundisha madaktari namna ya kujikinga na cholela inapotokea outbreak!Ni kweli inakera! lakini ebu tumsaidie sasa basi maana huwenda yeye kweli anaumiza kichwa lakini hapati majibu......kuna wasomi wengi sana tunahitaji michango yao sababu Tanzania haitajengwa na JK pekee. JK kuwa rais haimaanishi kuwa yeye ndie mwenye akili kuliko wote nchini. Wasomi tuache ubinafsi sasa tusaidie nchi yetu. Wajenga nchi ni wananchi!
Ni kweli inakera! lakini ebu tumsaidie sasa basi maana huwenda yeye kweli anaumiza kichwa lakini hapati majibu......kuna wasomi wengi sana tunahitaji michango yao sababu Tanzania haitajengwa na JK pekee. JK kuwa rais haimaanishi kuwa yeye ndie mwenye akili kuliko wote nchini. Wasomi tuache ubinafsi sasa tusaidie nchi yetu. Wajenga nchi ni wananchi!
Mkuu tatizo JK asemi kama ameshindwa kuongoza...aseme wapo watu wanavitu vya maana kumsaidia.....ana mzaha usimtetee...
Mwanakwetu, well said.Ni kweli inakera! lakini ebu tumsaidie sasa basi maana huwenda yeye kweli anaumiza kichwa lakini hapati majibu......kuna wasomi wengi sana tunahitaji michango yao sababu Tanzania haitajengwa na JK pekee. JK kuwa rais haimaanishi kuwa yeye ndie mwenye akili kuliko wote nchini. Wasomi tuache ubinafsi sasa tusaidie nchi yetu. Wajenga nchi ni wananchi!
Mfano wewe kama wewe Clejah,, una maoni gani kwa hili? Ukipata fursa ya kuteta na Rais ya dak 5 utamwambia au utampa inputs gani kuhusu hili? Unalisemeaje hili kama Mtanzania ambaye nawe unatakiwa kushiriki kujenga nchi hata kwa mawazo kama haya?Rais aliye makini hawezi kuwa na majibu ya SIJUI katika mambo ya msingi. Kuna umakini unakosekana.
Hakuna maendeleo pasipo kufanya mabadiliko.
Mimi wasiwasi wangu ni pale baba anapokuwa haelewi kwa nini familia yake haindelei, kwa nini nasema baba maana anao watu kibao wa kumsaidia kwa namna yeyote ile sasa inapofikia kwamba haielewi hapo napata shida sana, kwamba ni kweli haelewei au ana mzaha maana tumemzoea kwa kuwa na mzaha, na hii ndio inatupa shida sana watanzania kama kiongozi mkubwa anapokuwa na mzaha katika mambo ya msingi me binafsi nasikitika sana. Na sijui anapokuwa anaongea anahisi anaongea na watoto vile, watu wanasikiliza hoja zake yeye analeta mzaha, inaumiza sana kuona yeye hajui namna ya kusaidia wananchi wote walioweka matumaini kwake alafu yeye ndio wakwanza kulalamika. Noo hii inaumiza sana.
Mwanakwetu, well said.
Nilipata kuongea huko nyuma kwamba wengi wetu humu tunakwenda kwa "matukio". Tunangoja JK aseme hiki basi ndo tulete hapa (shalllow thinking) au tunasubiri tuone Slaa kafanya nini tulete! Hatuna constructive ideas. Rais hawezi kujua kila kitu, kama wewe unajua, omba appointment atakusikiliza. Anayo namba watu humtumia meseji nk, sidhani akama ukimwandikia akaona una mawazo bora asikualike kuteta naye. JARIBU UONE.
Lakini si ajabu kuona wengi wanamtusi tu bila kutoa mwongozo wowote. Kama alivyoandika mtoa mada ......Inakera!!!!!!
Tanzania haina resources kama mnavyofikiri! Actually we don't even have technology to exploit the few resources we got!Hatuna viwanda kwa sababu akili zetu tumeziegemeza kwa wafadhili, kwamba hakuna kitu tunaweza kufanya bila wafadhili hasa wa nje kutusaidia. Nao wafadhili hata siku moja ng'o hawawezi kukusaidia kujenga viwanda kwa kuwa wanajua ukiwa na viwanda utaacha kuwategemea wao kwa kuwa wanapata faida kubwa sana kwa misaada uchwara wanayotupatia. Tz ina resources zote zinazohitajika na viwanda, shida ni wanasiasa wetu kukosa vision, hawajui wapi tunatoka na wapi tunatakiwa kwenda.
Tanzania haina resources kama mnavyofikiri! Actually we don't even have technology to exploit the few resources we got!