Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
Nakumbuka oneday pande za temeke maduka mawili kunasiku nilienda pale liquid bar, wana barmaid wao pale wanavaa nguo za draft nyekundu wako bomba balaaa.
Nikazimika na mmoja tukaweka miadi kua akifunga nitaenda nae kupumzika, basi baada ya ahadi hiyo nikawa namsubiria tuu yule binti mweupe afunge bar (vitu vyeupe vinanifilisi sana).
Basi nikawa nampiga misupu ya kongoro, Piga sana bia za Heineken! saa nane usiku inafika watu washaondoka wote anafunga akaniambia anaenda kaunta kufunga mahesabu, duh! Sikumuona tena, mlinzi anakuja namuuliza yule mwanamke yukowapi nashangaa ananiambia ashaenda kwake buza mda sana.
Kiukweli nilijisikia hovyo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app