Inauma sana, ila LET HER GO

Inauma sana, ila LET HER GO

Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
Nilitaka nikomenti Ila nikawaza Hawa vijana Wa fomu tuu waliofunga shule wakaja kwa shemeji zao Dar wakirudi Skonga huko namabengo watarudiana tu ni upepo tu wa mafua Ila nikaona Haina maana wacha ni kaushe....
Bro unaingia form sirii huku utakuja kuandika ese ili ueleweke haya mambo ya mension sijui nn yameishia hapo fomu tuu.
 
Pole ila just imagine Ex wangu ameolewa na anamtoto sahizi na aliwahi sema na kuapa hakuna kitu kitatutenganisha....

Be after cash maumivu yatapoa hayo, tena unaweza hata mpata ila wemgine kumpata ngumu na ameisha tengeneza kiumbe huko
 
Back
Top Bottom