Inauma sana, ila LET HER GO

Inauma sana, ila LET HER GO

Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
Nashawai kuachwa,nimeshawahi kuishi bila kazi/pesa......aisee watu wanaosema mapenzi yanauma ni waongo sana......hivi ile feeling hauna hela upo tu ndani dah aisee,.......huna kazi wala connctio yeyote ile usiombe ikukute
 
Umekuwa mkubwa sasa mkuu. Jipongeze kaa kunywa beer mbili.
images (8).jpeg
 
Inauma Kwakweli basi tu ndio hivo hakuna jinsi😩😩
 
Hovyo tu....

Alibadilika nn.!??? Au tu umeamua kumuacha kwa wivu
 
Nashawai kuachwa,nimeshawahi kuishi bila kazi/pesa......aisee watu wanaosema mapenzi yanauma ni waongo sana......hivi ile feeling hauna hela upo tu ndani dah aisee,.......huna kazi wala connctio yeyote ile usiombe ikukute
kazi unayo pesa si haba ,kila kitu kina umuhimu wake kwa muda flan mkuu ila sssaf kama hela unayo wapo wengi sana siku hizi
 
Back
Top Bottom