Nashawai kuachwa,nimeshawahi kuishi bila kazi/pesa......aisee watu wanaosema mapenzi yanauma ni waongo sana......hivi ile feeling hauna hela upo tu ndani dah aisee,.......huna kazi wala connctio yeyote ile usiombe ikukuteNimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.