Lorrye100 Phd
Member
- Jul 24, 2020
- 5
- 4
Pole nawewe kwa kuachwa na limapengo lako!Pole, utazoea tu
Nilitaka nikomenti Ila nikawaza Hawa vijana Wa fomu tuu waliofunga shule wakaja kwa shemeji zao Dar wakirudi Skonga huko namabengo watarudiana tu ni upepo tu wa mafua Ila nikaona Haina maana wacha ni kaushe....Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
PoleNimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
Pole nawewe kwa kuachwa na limapengo lako!
Komamanga tena๐๐Sijawahi kuachwa wewe komamanga niko single siku zote[emoji28][emoji28]
๐ Watu bhana haya single mingle hujambo..?Sijawahi kuachwa wewe komamanga niko single siku zote[emoji28][emoji28]
Ni jina langu usishangae mkuu!.Komamanga tena๐๐
Tena la kijaniKomamanga tena๐๐
Sijambo shikamoo๐ Watu bhana haya single mingle hujambo..?
Sitaki kushika humo mimi..๐Sijambo shikamoo
Komamanga ni jekundu rangi yake, hilo la kijani bila shaka ni bado changa, ila wewe๐Tena la kijani