Inauma sana: Kansa ya ngozi yamharibu mtoto wa miaka 7....baba amwaga machozi akiomba msaada

Inauma sana: Kansa ya ngozi yamharibu mtoto wa miaka 7....baba amwaga machozi akiomba msaada

inasikitisha sana. Hakika inauma sana kwa mzazi kumuona mwanao akiteseka namna hiyo bila nafuu. Watanzania katika hili tuonyeshe ushirikiano na tumchangie huyo mtoto ili apate matibabu. KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI WAPENDWA.
 
Back
Top Bottom