R rpg JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 3,620 Reaction score 1,478 Aug 2, 2013 #21 Bwana awe nawe!
benedict2 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 280 Reaction score 184 Aug 2, 2013 #22 inasikitisha sana. Hakika inauma sana kwa mzazi kumuona mwanao akiteseka namna hiyo bila nafuu. Watanzania katika hili tuonyeshe ushirikiano na tumchangie huyo mtoto ili apate matibabu. KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI WAPENDWA.
inasikitisha sana. Hakika inauma sana kwa mzazi kumuona mwanao akiteseka namna hiyo bila nafuu. Watanzania katika hili tuonyeshe ushirikiano na tumchangie huyo mtoto ili apate matibabu. KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI WAPENDWA.