Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4.

Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
 
Back
Top Bottom