Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Tatizo hiloWewe ni mbakaji mwenzangu mkuu.Stress za maisha huwa zinanistress nashindwa kumwandaa she wangu vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hiloWewe ni mbakaji mwenzangu mkuu.Stress za maisha huwa zinanistress nashindwa kumwandaa she wangu vizuri.
Sijamtafuta tokea anitamkie hivokwa uzoefu wangu hapa anatumia usataarabu kuwa hakutaki kuendelea na hayo mahusiano na ww! akili kichwani kwako. anataka muachane kwa amani. huenda amehofia akikuacha kibabe utaleta ugomvi.... achana na huyo msichana. uking'ang''ania ukubali kuwa sub
Mkuu kumbe katereri una ijua?Hadi katerero pia haridhiki? Ah itakuwa sugu ni balaaa...
I'm taking thisTangu kuumbwa kwa ulimwengu huu hakuna mwanaume aliyefanikiwa kumridhisha mwanamke....na wanaume wote waliojaribu kufanya hivyo wengine wameshafariki, wengine wapo jela wakitumikia vifungo, baadhi yao wana makovu makubwa kwenye miili yao na ulemavu....na wengine wapo kwenye majuto makuu.......
Asiyeridhika na uhalisia wako hapaswi kuwa sehemu ya maisha yako......
DuhNajua we ni nrembo na machoni unapendeza, ila una haraka na kwenda na kasi yako sitaweza.../
Umeanza kuigeza jinai, eti nipate nguvu unanilisha pweza na chai.../
Haujui habari ulizosoma zimewekwa maslahi, umeshika simu sana mpaka unanipoteza walahi.../
Umepumbazwa hutaki shika kisomo, unakubali kila kitu hujui mengine ni promo.../
Nilikuwa nakuridhisha leo unataka nikuridhishe mara mbili kwa kunifananisha na wacheza ngono.../
The verteller
Hapa sijaelewaNajua we ni nrembo na machoni unapendeza, ila una haraka na kwenda na kasi yako sitaweza.../
Umeanza kuigeza jinai, eti nipate nguvu unanilisha pweza na chai.../
Haujui habari ulizosoma zimewekwa maslahi, umeshika simu sana mpaka unanipoteza walahi.../
Umepumbazwa hutaki shika kisomo, unakubali kila kitu hujui mengine ni promo.../
Nilikuwa nakuridhisha leo unataka nikuridhishe mara mbili kwa kunifananisha na wacheza ngono.../
The verteller
[emoji23][emoji23]Hadi katerero pia haridhiki? Ah itakuwa sugu ni balaaa...
Tumia mbinu za kikomando huenda mrejesho ukawa mzrAsante mkuu
Ndo mwanamke wa Kwanza 2 have low performance
Hua nashindwa kuwaelewa watu wa dizain yakoMlete Kwangu nimtatulie shida zake mkuu.
Halafu wewe ni wa ajabu sana ,!!! Kwa hiyo huamini au ?? Halafu huu ni undezi, unashindwa mchezo unakuja kuanzisha Uzi bila aibu,???
Kizazi buree kabisa.
Mkuu we mpelekee moto akitaka kuridhika aende kwabaake.Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
Tatizo lako ni huruma ,,, uliyonayo kwa mpnz wako.Habari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
pisi kali.mamboMkuu achana nae usiumie uzuri amekwambia ukweli
Haujui nini Mungu anakuepusha nae